Ukweli unakuweka huruHivi Binamu ngoja nikuulize unaona raha me kugombana na mjomba ako
Obe hii lugha veepiMarahaba , habari za mashindoni?
....kuwa mkweli anko, hela uliyonituma niipeleke kule kwa teller tolu ndo nimeitumia kununua simu Samsung Galaxy, au hupendi Makapuku wajue?
Maelekezo elekeziiati nn
Weka picha ya box acha longolongo binamu
Obe hii lugha veepi
Nimekupata....haha ahahahah, tulia mdau usiipeleke kwenye lugha lugha yako halafu ukairudisha kwenye kiswahili, utapata maana siyo
Hivi umejuaje...nyie ndo waswahili kweli, yaani hadi leo box nikae nalo la nini sasa? Ukute wewe hadi maboksi ya viatu umeyatunza ndani? Huamini kuwa nilitumia hela ya anko kununua simu?
Ona hii emoji nakuongezea tena🙂🙂🙂
Ukweliiii upiii shemela kwenye ubora wako kabisaUkweli unakuweka huru
Kho kho khoMy love niambie
Baba wawili
Kwahiyo Baba D ni kweli umemnunulia simu binamu yako
Ukimanishaa umemtapelii ankoo wakoo ???
Hivi umejuajenamuona mama ashura anakuwekea viemoji anko wako amekataa hajakununulia simu usitake kunigombanisha nae binamu
Binamu nimecheka sana aisee acha nilale tu eti na hivi hajakukosea siku nyingi...ha hahahahahaha, yaani umeuuliza akubali? Kama umempa limbwata sawa, ila kama akili zake ziko timamu lazima akatae tu, na hivi hajakukosea siku nyingi. Anachotaka ni kunigombanisha mimi na wewe, ashindwe kabisa
Shem wanguShikamoo Binamu
Hivi umejuajenamuona mama ashura anakuwekea viemoji anko wako amekataa hajakununulia simu usitake kunigombanisha nae binamu
Aisee haaaaahaaaa...ha hahahahahaha, yaani umeuuliza akubali? Kama umempa limbwata sawa, ila kama akili zake ziko timamu lazima akatae tu, na hivi hajakukosea siku nyingi. Anachotaka ni kunigombanisha mimi na wewe, ashindwe kabisa
Asante T barikiwa sana nimeipenda nyimbo nzuri sana
Mambo yakoShem wangu