Pamoja na hayo uje tu uwe mtii
Hata mbwa akila chakula chako hata kung'ata sembuse wewe+emmy mlifanya mengi na mara nyingi, mkikumbuka kimoja tu mtasameheana
Sometimes vitambi vinakosega njia pa kuota, hasa hili jamaa lina kitambi tena smart halijui kuandika, point less, haijulikani anaongea na nani!
Duuh maisha bongo rahisi sana