Makapuku Forum

Najua T ni binamu obe ndio anamvunjia heshima anko wake

....mimi anko wangu siwezi kumvunjia heshima hata kidogo, kwanza ndo alinileta mjini na nikakaribishwa na shululu enzi hizo anamfukuzia Tumosa na nikampenda BlessedHope akanipa ngumi ya chembe nikaona isiwe taabu, nikaongea na Shunie na limjomba langu lee empire enzi hizi anko anavinjari na CM, nikawaambia jamani mimi mpwawenu domo zege na so fanyeni michakato, mara paaa husna muba akanitunuku penzi wakati huo Transcend anamtumia maua Sakayo huku kile kibabu Asprin kikimmegea pesa za pensheni.
 
Ebu ngoja kwanza binamu hili la muhimu kuliko yote hayo huyo CM ndio naniiii enzi hizo anavinjari na anko wako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…