Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kibaiskeli utanunua wewe anko wakeNa kibaiskeliiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kibaiskeli utanunua wewe anko wakeNa kibaiskeliiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeingia mbiombio jf kitu nimekuta kimefutwaNilimwambiaaa nyie si wambeaa
Kajifungua au?!Hongera mama wa wenger kwa kutuongezea katoto ka kapuku Mungu amkuze katika maadili yaliyo mema
Ni sheeedaaAiseee inaonekana yalikuwa matusi mazito
Ni mdadaNa kibaiskeliiii
MmmmhNilimwambiaaa nyie si wambeaa
Nimekuta Jana watu wanatoa hongera kuwa kajifungua mtoto wa kiumeKajifungua au?!
Hatai kwei kweiNi sheeedaa
Dada nakufwaaaaaaa ni niniiii lakini umeshajua ni jinsia gani huyo a it we shunie jamanNi mdada
Aaah[emoji15] [emoji15] Dada usiniambie imeingia juzi si ulinipa hizi taarifa kuwa upo kwenye process
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Wewe husna wewe.....
Mtaniharibia mrembo na mibaiskeli yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kibaiskeli utanunua wewe anko wake
Weeweeee naweeeee....Ndio mpendwa wa binamu yako huyo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Tushampotezaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kala kona ya veeep ya kutotoa au kajua imeshaingia chizi weweAaah
Jamaa Sijui kaushtukia mchezo.... Yaani kala kona kabisaa....
HahahaDada nakufwaaaaaaa ni niniiii lakini umeshajua ni jinsia gani huyo a it we shunie jaman
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaona utakufwa na hamu zako bora utafute wa kukuseduce[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sasa mpendwa wako katekwa bitoz nae simuoni sasa nifanyeje jaamaani
Basi tutamnunulia kigari jaman huyo ni shunieMtaniharibia mrembo na mibaiskeli yenu
Mimi jamanWeeweeee naweeeee....
Hatoi huduma pendwa, Mxiuuuu zake....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kala kona ya veeep ya kutotoa au kajua imeshaingia chizi wewe