Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Yesu wangu wa Mbinguni jamani mweeee kesi hizo babaang
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Yesu wangu wa Mbinguni jamani mweeee kesi hizo babaang
Anitafutia kesi huyu mtu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
We Mondy ni shida yaaniHONGERAA
Ni kwaile mimba ya Transcend au nanii.Kama hutajali tupe kapicha tumuonee mjombaa
Hongera sana bibiyeTehehehe nkajua kufanana, lkn mm sikuwa mgomvi yy ndo alikuwaga ananikorofisha
Hujambo mjukuu wangu?[emoji122] [emoji122] [emoji122] hongera mamy Mungu akukuzie
Ongeraaa sana sanaaaaa....ila jina hapanaaaaJmani wazima, nawamiss kweli, nipeni hongera nimeleta kababy boy hahaha lol, halaf kwa hasira nakapa jina la Wenger maana yule mzee ananivurugaga sanaaa
Ahaaaaaah mimba ilikuwa inakusumbuaaAha wapi Mungu kanipa tu mtt sio sababu ya yule jamaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yesu wangu wa Mbinguni jamani mweeee kesi hizo babaang
Rafiki Mbona unacheka tu unayajua nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We Mondy ni shida yaani
Hivi povu la Transcend akija utaliweza kweli?Kiasii chake bro..
Nko poa Mond hbr ya zenji
Yaaan kipenziiiii wewe niacheee niongezee siku
Hivi povu la Transcend akija utaliweza kweli?
HmmmYaaan kipenziiiii wewe niacheee niongezee siku
Wewe muhenga mwenzanguMkuu hahaaaa T kwani anaweza panic kwa vitu hivyo, hawez huyu ndio alikua shem wetu kwa T kabla ya Sakayo so yawezekana ni matunda ya uhusiano wao..
[emoji3] [emoji3] [emoji3] namuonaAnitafutia kesi huyu mtu
Cjambo shikamoo babu......Hujambo mjukuu wangu?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sema povu la Sakayo ndo litakuwa hatariHivi povu la Transcend akija utaliweza kweli?