AiseeeeeHivi Tanroad hawajafika mtaani kwenu tuu?
Kijana hujamboJamani One day tungekutana aisee tuka pump Champagne aisee au nanyi ni watu wa system hamtaki kujulikana?
Anajitekenyaaa huyoBaba D hajawahi tumia tigo ujue
Si yale mambo ya kujificha nyuma ya mapazia...T kwani we umeelewa veep hapo
Mmh bas sawaDada anakuzingua...! She the real piece of me..
Hahahaaa [emoji23][emoji23][emoji23] ! Kama nakuona ukimpigia sasa hivi..Mmh bas sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si yale mambo ya kujificha nyuma ya mapazia...
Akikutafuta na kukupata mnalala hapo hapo... [emoji23][emoji23]
AhahhhAnajitekenyaaa huyo
Ameitupa ?Huyo aliyekupa kakosea ujue hajawai tumia no inayoishia hivyo
Umejuajeee nampa mapovu yakeHahahaaa [emoji23][emoji23][emoji23] ! Kama nakuona ukimpigia sasa hivi..
Sio kaitupa hajawai jaman kuitumiaAmeitupa ?
Hahahaaaa....Umejuajeee nampa mapovu yake
Hiyo ya kwako labda38 mwisho..
Tufanye umeitupa..[emoji41]Hiyo ya kwako labda
Baba wawili wnguNzuri kabisa shemeji, za ileje
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Pamoja dada
Ukimanishaa niniBaba wawili wngu
Atalia peke yake tuHahahaaaa....
Kama namuona ! Angalia asilie tuu manake sio kwa machozi yale..