Wanaopenda mkutane kutaneni tu jamaan mimi mtaniambia jukwaani ilivyokuwa kwenye makutanoJamani One day tungekutana aisee tuka pump Champagne aisee au nanyi ni watu wa system hamtaki kujulikana?
Hakuna tatizo kila mtu na mtazamo wakeKwani kuna nini tatizo mwaishi kwa mashaka sana..
Wanaopenda mkutane kutaneni tu jamaan mimi mtaniambia jukwaani ilivyokuwa kwenye makutano
Shauri zako...Wewe ndio mdogo kwa baba d
Pemba auJamani One day tungekutana aisee tuka pump Champagne aisee au nanyi ni watu wa system hamtaki kujulikana?
KalikwepaaaaAkikujibu niite baba d
Hahahaa...Ahahhhh T ujue kivuli hatujakisafisha bado
Weeee nitueeeKwahiyo hutaki shikamoo yangu
Hili muhimu sana...Jamani One day tungekutana aisee tuka pump Champagne aisee au nanyi ni watu wa system hamtaki kujulikana?
Huwezi gika ndio nini tena jamaan me sitaki hizo mambo za kukutana na watu wa jf yaan ni sheria yangu mm shunie jamanKwanini huwez gika!
Woyooo...Wanaopenda mkutane kutaneni tu jamaan mimi mtaniambia jukwaani ilivyokuwa kwenye makutano
Ilaa wewe au dogo atakuwakilishaaaWanaopenda mkutane kutaneni tu jamaan mimi mtaniambia jukwaani ilivyokuwa kwenye makutano
[emoji23][emoji23]Kalikwepaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usitufanyie hivyo ujue T sio vizuriHahahaa...
Najua ameshakupa negative [emoji3]
Baba D jamaan itikia tuWeeee nitueee
Acha nicheke yaan T wewe kama kweli vile ngoja nimtafute Dada angu akuje ajioneeHili muhimu sana...
Jf ya zamani tulishakutanaga Arusha...
Huwezi gika ndio nini tena jamaan me sitaki hizo mambo za kukutana na watu wa jf yaan ni sheria yangu mm shunie jaman
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Woyooo...
Nilijua tuu utakwepa...[emoji41]