Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Tushamaliza banaaHapana aisee sitaki kitu Rogie nyie endeleeni tu jaman
Tushamaliza banaaHapana aisee sitaki kitu Rogie nyie endeleeni tu jaman
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nitafika usikuBasi nimetulia.
Vyema, utakuta nimekuandalia chakula, niambie tu kipi ungependa kula.[emoji1] [emoji1] [emoji1] nitafika usiku
Pasi na shaka
[emoji3] [emoji3] [emoji3] nawaonaMke mwee nakusalimia tu mimi [emoji137] naona umekuwa mpendwa wa binamu kufukua viporo woiiii [emoji23][emoji23][emoji23]
Shikamooo babu
Nakuona..nakuona...Nambie
Marhabaa mjukuu mwee wangu.... Hujambo wewe?Shikamooo babu
WoooooooozaaaaaaSimba mrara.... Hatari kweli kweli hao... Ukitoa mkono wameudaka
Umekuwa mama havinipiti na wewe mke mwee jamaan mambo yako[emoji3] [emoji3] [emoji3] nawaona
Lazima akufwe mtu leo babu
Ha ha ha ha ha haLazima akufwe mtu leo babu