Hahaaaaa ! WoyooooooooooJamaan T mbona unataka kutuliza usitufanyie hivyo tunakupenda sie jaman nasubiria kwaito kwa hamu mie na kimini changu cha kitenge
Mguno hunifanya niwaze zaidiAhahhahah ila me siupendi ujue kuna mda tunaongea serious unaleta mguno wako kama majuzi mfyuuuuu
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinitafute maneno mie jumba bovu liniangukie niwachee dada na kivuli chako
Niombee tuu tupendane na dada yako mileleee...Ewaaaaaa shem nikupe nini mimi jamaa T wa dada
I am speechless...I love you more than you think of me loving you..
Koh koh koh!Hiyo kwaito veepe...
Kuna mtu aliuliza Taratibu za kibondei then akakimbiamo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinitafute maneno mie jumba bovu liniangukie niwachee dada na kivuli chako
HahahaNikufute miguu kwanza
Sare na lee au.... Wakwende hukooo na sare zaoHahaaaaa ! Woyoooooooooo
Hivi dada na kimini cha kitenge mliishia wapi?
Si wametoka moja bila...?Angalia AzamTv wanaonyesha
Liverpool v Palace
RTS1
(AzamTv other channels)
............
HahahaNiombee tuu tupendane na dada yako mileleee...
Hata siku ya ufufuo nifufuke naye
HahahaKoh koh koh!
Niletee Maziwa ya Tanga fresh sakayo.
Muwekeee bhanaAkuu....
Wewe ungejua tuu.Hahaha
Love you... Just miss our old days you know...
Sitaki TMuwekeee bhana
Hahaaa...Sare na lee au.... Wakwende hukooo na sare zao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Ndioo au kuna mwingine
Nimeona babe.... Sijui ni shetwani gani alitupitiaWewe ungejua tuu.
Leo si umeona ndizi nimenya na kupika mwenyewe
Ahahah kimini kinavaliwa siku ya kwaito mjue msinitanieHahaaaaa ! Woyoooooooooo
Hivi dada na kimini cha kitenge mliishia wapi?
Ahahha uwaze nini huwa unaniuzi ujui tu nawaza uchochezi tu mieMguno hunifanya niwaze zaidi