Shemela jina lako gumu kuandika eheeDada akee mimi shunii mwenyewe unaniita nani vileee
AmenNawasalimu katika jina la Bwana Yesu kristo lipitalo majina yote
Kwani uongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana aisee
Unamjua kipa mmoja hivi alikuwa anaitwa bahatisha nduruteWanamwita nani vileeeee huyo cheusi mangala
Ebu ngoja kwanza nawaza tu apa ulijuajeee [emoji848]Kwani uongo
Heineken hii aki kabisaMgunoooo veeeep dada anaitwa rlukaku
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Aiseeee
Amefanana na leey
Alikuwa hapa anagawa vinywaji Sijui kaelekea wapiiiNakupenda mimi jamaan roho yake T shem wangu mimi apa peke yangu kwa dada sakayo hivi yuko ap lakini
Marahabaaa shemela wanguShikamoo shemela wangu mie apa
Ana nini shemelaUnamjua kipa mmoja hivi alikuwa anaitwa bahatisha ndurute
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85] [emoji85] [emoji85] shemela acha kukaririHeineken hii aki kabisa
Umesahau ulinitumia negativeEbu ngoja kwanza nawaza tu apa ulijuajeee [emoji848]
Ebu niitie akuje haraka mwambie aniletee kachupa ka kijani kadogo hivii cha baridiiiAlikuwa hapa anagawa vinywaji Sijui kaelekea wapiii
Hayo majina unavyoandika, kuna kitu kichwani shemela sio bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85] [emoji85] [emoji85] shemela acha kukariri
Mzima jaman nimekumiss tu mimiMarahabaaa shemela wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwehu wewe negative kwan sie tuna studio ya kusafishaUmesahau ulinitumia negative
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayo majina unavyoandika, kuna kitu kichwani shemela sio bure
Mimi mzima kabisa shemela wa mimi, D hajamboMzima jaman nimekumiss tu mimi
Binamu obe au shemela shululu naombeni nyimbo mie ya fally ipupa eloko oyo najiskia tu kucheza cheza tu hiyo nyimbo