Makapuku Forum

8/Stephanie McMahon
Alizaliwa Septemba 24 mwaka 1976
Ukimwangalia haraka haraka unaweza fikiri ni mrembo tu wa chipsi mayai kumbe yupo fiti na siyo wa kuchokozwa chokozwa
Huyu ni malkia wa mieleka duniani
Ndiye mwanamieleka maarufu wa kike na anapiga pesa ndefu kimyakimya
Ni binti wa mcheza mieleka maarufu wa zamani Vince McMahon ambaye alitamba vilivyo
Anatajwa kuwa mwanamieleka wa kike mrembo zaidi duniani
Ana utajiri wa USD 25 Milioni ila Vyanzo vingine vinadai ni USD 60 Milioni(labda wanaongea utajiri wa familia au buzi lake)
.......
 
Mh hongera zao

Madame S
 
We wachukulie wajinga sababu unaangalia matako yao bure
Wenzio wanapiga pesa

.....
suala sio hilo yan nikae niangalie watu wakipigana yan wakaumizana ni kama ilivyo mpira ngumu kunishawishi tena at least hata mpira sasa hivi sio huu kwa kweli mtu anapigwa na kiti kama marehem umaga na kidole chake hahahhaa
bora nilale tu

Madame S
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…