Najua sio kweli, haiwezekani ufunge ndoa leo kesho uwe unarandaranda mitaaniFungate lilishaishaga zamani. Alafu haikuwa kweli. Nilikuwa anachangamsha jukwaa tu
Kwema lakini??
Kabisa shemelaHilo ndio la muhimu shemela kukemea kutoa mapepo yote
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Sanaaa anamwachia usiku tu kama nusu saa halaf anampokonya simu yake
Poa mjukuu wanguSawa babu akee
Ha ha ha haAcha kabisaa
Asante mamy nakupenda zaidiMuwe na usiku mwema jamanii....
T wangu nakupenda, Mungu akutunze tuu jamanii... Shunie mdogo wangu, bila wewe ni sawa na kasha bila njiti... Tumoo na Madam S Nawapenda bure.... Babu yao naomba uniagie Bitoz, shululu, Lee na Obe....
Nawapenda jamanii
[emoji120][emoji120][emoji120]Shunie..
Tumosa
Dingimtoto
Madam s
Na wengine woooooote...
Sakayo ni special case..[emoji173]
Nawatakia muda mwema..
Tuonane baadaye kidogo....