Leo katika Historia
1947 - India yajipatia Uhuru wake toka kwa Uingereza.
Leo katika Historia
1974 - Alfredo Stroessner anaanza utawala wake wa Mkono wa Chuma ( Udikteta ) huko Paraguay.
Asante sanaNa wewe tunakusalimu
Cc Shunie
Sakayo
Tumosa
Husna
Maserati
Husna
Madame S
Jimena
......
Leo katika Historia
1960 - Congo Brazzaville yajipatia Uhuru wake toka kwa Ufaransa.
Na ndipo alipojulikana na watu wengi baada ya kuwa na JloLeo katika Historia
1972 - Ben Affleck azaliwa.
Ni mwigizaji mashuhuri toka Hollywood nchini Marekani. Uhusiano wake kimapenzi na mwanamuziki Jennifer Lopez ulitikisa dunia japo haukudumu sana
Kwema kabisa mkuu LeeKwema wakuuu
Asante ankali kwa leo katika historiaShukrani sana kwa kuwa pamoja nami! Niite Jimena Jimenes... Kwa udhamini mnono wa Chia seeds
Jipatie paketi yako ya 100g kwa bei ya 10,000/=
Muwe na siku njema
KaribuAm new here
Karibu
Leo katika Historia
1963 - Rais Fulbert Youlou wa Congo anapinduliwa baada ya maandamano ya siku 3.
Leo katika Historia
1928 - Malcom Glazer anazaliwa.
Ni mmiliki wa zamani wa Man Utd.
Alifariki mwaka 2014.
Hivi Robert majibu yakoje?Aisee
Kwani kwenu hakuna dada zako ?Asante! Kuna wanawake hapa?
Leo katika Historia
1972 - Ben Affleck azaliwa.
Ni mwigizaji mashuhuri toka Hollywood nchini Marekani. Uhusiano wake kimapenzi na mwanamuziki Jennifer Lopez ulitikisa dunia japo haukudumu sana
Morng vip hali mkuu..
Haya watatoka wanaumwa.. UTI, KASWENDE, KISONONO, KICHOCHO, FUNGUS WA KUTOSHA KATIKA VIKOJOLEO VYAO, BAKTERIA USISEME NA PANGUSA JUU YAKE
Haya je?
...