Makapuku Forum

Namba 7

Kevin Mintick

Kevin ni mmarekani , mtaalamu wa computer. Alisoma shule nnchini Us katka jiji la Los angels..

Akiwa na miaka 8 , kevin aliweza kutumia computer na kiingilia mfumo wa computer na kutengeneza kadi feki za kusafiri mjini Los angels..

Kevin alitengeneza kadi za usafiri na kumwezesha kuendesha gari popote mjini LA.

Baadaye Kevin alivamia mfumo wa computer wa Pentagon, Nokia na Motorola huku million ya mafaili yakiibiwa na kevin.

Alikamatwa na kufungwa ila alipotoka Gerezani akafungua kampuni yake ya computer consulting yaani mitnick Security consunlting.

 
Loh!

Madame S
 
Muzee ndo upo # 7
Si mchezo


Ila Kelvin noma sana
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…