Bonge la Top Ten...Nchi 10 zilizo na teknolojia kubwa katika nyanja za kijeshi duniani
Marekani
Urusi
China
France
England
Japan
Germany
North korea
South korea
Shukrani[emoji120] [emoji120]Bado naendelea hapa karibu
I see you bossHahahaa...
Mr. Mid-night
Mi niko poa dada za huko ulikoSalama kaka ake,hbr ya kupotea salamu ako nlpata
Pamoja sanaa!!Kesho naweka dada...!
Muda tuu ndio ishu
Uko sahihi kabisaIulemavu mbaya ni wa akili
Sijawahi kumuona chizi/mwendawazimu/kichaa akifanya kitu chochote cha maana maishani
....
Asante sana Beetles1/Stevie Wonder
Alizaliwa Mei 13 1950
Huyu wala sihitaji maneno mengi kumwelezea maana bado yupo masikioni na machoni kwa watu na muziki wake unajulikana vilivyo
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapori mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane Jumatatu
Mwisho
............
Nooo!! Usilie shem tukae tutathimin tujue tunaanzia wapi shemela wangu.. ukilia sana utaniliza na mim sweetiepie wangu hayupo..[emoji24] [emoji24] [emoji24][emoji24] [emoji24] [emoji24]
Principle muhimu sana katika maisha hii..Hawa ni miongoni mwa watu wanaojitambua.... Kwanza amejikubali, na akasonga mbele
[emoji57] [emoji57] [emoji57][emoji12][emoji12][emoji12] relax bana
Madame S