Naenda kulala, waweza kusema nasubiriWee madam unakwenda wapi.. hebu ukuje hapa mara 1.
Enzi za utoto hizo... superstar lufufu mkandala.Umenikumbusha mbali
Nakujib ya mwisho ....hapa tupo kwa bed make tulikuwa sitting room ...Mlale au muanze ........
Nimecheka ulivyoshitukaMbona unanicheka jamani
Madame S
Maongez gani hayo juu juu kama mnazi, hebu sogea hapa uketi tafadhali bibie..Naenda kulala, waweza kusema nasubiri
Madame S
Teh teh teh.. unakula miuno ya paka chongo..Nakujib ya mwisho ....hapa tupo kwa bed make tulikuwa sitting room ...
She is doing what supsd to be don
Maongez gani hayo juu juu kama mnazi, hebu sogea hapa uketi tafadhali bibie..
Yani eti ambiwa ninatembea mwendo wa fumanizi kanishtua kwa kweliNimecheka ulivyoshituka
Maongezi ya juuu juu kama mnazi
Kipi kimekuchekesha we mtoto wa kike
Teh teh teh.. raha ya maongez kuongea sehem tuliv, yanin kujibishana kama walevi wa komon, sogea huku tafadhali bibieMaongezi ya juuu juu kama mnaziwatu mna maneno sana
Madame S
Wataka nifike hadi wapi sasa kusogea hukuTeh teh teh.. raha ya maongez kuongea sehem tuliv, yanin kujibishana kama walevi wa komon, sogea huku tafadhali bibie
Siusogee hata hapa karibu, tunaongeaje sasa wewe uko makkah mie madina...Wataka nifike hadi wapi sasa kusogea hukuongea tu mbona nakusikia bila mikwaruzano
Madame S
Ya nin kuongea mbali mbali tunatupiana maneno kama vibirit ngoma wanagombea bwana.. sogea hapa uketi tafadhali madameWataka nifike hadi wapi sasa kusogea hukuongea tu mbona nakusikia bila mikwaruzano
Madame S
Mazungumzo gani had tuwe so close hivo??Siusogee hata hapa karibu, tunaongeaje sasa wewe uko makkah mie madina...
JamaniYa nin kuongea mbali mbali tunatupiana maneno kama vibirit ngoma wanagombea bwana.. sogea hapa uketi tafadhali madame
Sanaaaa mkuuWee acha stareh ya mpira ni ya kipekee
Sikia bibie we sote watu wazima, haina haja ya kuuzunguruka mbuyu na maneno ya kihengo, cz hata nitumie misamiati gani dhumuni ni lile lile..Mazungumzo gani had tuwe so close hivo??
Madame S