Makapuku Forum

Leo katika Historia

1945 - Bomu la pili atomiki larushwa huko Nagasaki nchini Japan na kuua watu takribani 35,000.

Bomu hili lililojulikana kama " Fat man " baada ya lile la kwanza la August 6 lililojulikana kama " Little boy

Wataalamu wa mambo wanasema bomu hili ndilo lililomaliza vita kuu ya pili ya Dunia.

Madhara ya bomu hilo yanaitesa Japan na watu wake mpaka leo.
 
Leo katika Historia:

Ni mwaka mmoja na miezi Minne ya Makapuku Forum.

Ilianzishwa tarehe 9/4/2016

Leo ni siku yetu hivyo hatuna budi kutamba kwa mbwembwe zote.
Asanteni wote kwa kuijenga familia hii bora kabisa hapa JF

Cc @bailey
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…