Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Aug 5, 2017 #255,621 lee empire said: mtafutee mimi kaniblock naona napiga haipitii D sio msabato Click to expand... Kwa nini nimekublck lakini
lee empire said: mtafutee mimi kaniblock naona napiga haipitii D sio msabato Click to expand... Kwa nini nimekublck lakini
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 5, 2017 #255,622 Leo katika Historia 1962 - Nelson Mandela anakamatwa na kufungwa jela ambapo anakuja kutoka mwaka 1990.
Leo katika Historia 1962 - Nelson Mandela anakamatwa na kufungwa jela ambapo anakuja kutoka mwaka 1990.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Aug 5, 2017 #255,623 Sakayo said: Shunie hapokei Simu wala hajibu txt... Ulumfanyaje toka jana alikuwa anakuulizia ujue!!!! Labda Davie ni msabato Click to expand... Dada nimeshakuja
Sakayo said: Shunie hapokei Simu wala hajibu txt... Ulumfanyaje toka jana alikuwa anakuulizia ujue!!!! Labda Davie ni msabato Click to expand... Dada nimeshakuja
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Aug 5, 2017 #255,624 lee empire said: kapuku wote nawasalimu katika jina la Yesu jina lipitalo majina yote Click to expand... Aiseee huu ujio sio wa nchi hii
lee empire said: kapuku wote nawasalimu katika jina la Yesu jina lipitalo majina yote Click to expand... Aiseee huu ujio sio wa nchi hii
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 5, 2017 #255,625 Leo katika Historia 1930 - Michal Kovac anazaliwa. Ni Rais wa kwanza wa Slovakia.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 5, 2017 #255,626 Leo katika Historia 1957 - David Gill anazaliwa. Ni mtendaji mkuu wa zamani wa Man Utd pia kwa sasa ni balozi wa timu hiyo ya Man Utd.
Leo katika Historia 1957 - David Gill anazaliwa. Ni mtendaji mkuu wa zamani wa Man Utd pia kwa sasa ni balozi wa timu hiyo ya Man Utd.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Aug 5, 2017 #255,627 lee empire said: hapana leo jumapili make D kaniomba sadaka asubh ... mpigie shunie Click to expand... Ameshanipigia nimeshakuja ninachomshkuru Mungu huko ulipotekwa upo mzima tu basi hiko ndio kikubwa Baba D
lee empire said: hapana leo jumapili make D kaniomba sadaka asubh ... mpigie shunie Click to expand... Ameshanipigia nimeshakuja ninachomshkuru Mungu huko ulipotekwa upo mzima tu basi hiko ndio kikubwa Baba D
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 5, 2017 #255,628 Leo katika Historia 1980 - Wayne Bridge anazaliwa. Ni mchezaji wa zamani wa Chelsea na Man City.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Aug 5, 2017 #255,629 lee empire said: nyumbanii leo sitoweza kufika Click to expand... Bado unaendelea kutekwa na leo
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Aug 5, 2017 #255,630 Shunie said: Hongera sana jaman Click to expand... Afadhali umekuja mke mweee umeamkaje pole na mawazo
Shunie said: Hongera sana jaman Click to expand... Afadhali umekuja mke mweee umeamkaje pole na mawazo
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 5, 2017 #255,631 Leo katika Historia 1985 - Salomon Kalou anazaliwa. Ni mchezaji wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa ya Ivory Coast.
Leo katika Historia 1985 - Salomon Kalou anazaliwa. Ni mchezaji wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa ya Ivory Coast.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Aug 5, 2017 #255,632 Tumosa said: hata ukitekwa uwe unaaga mtoto wa watu atakufwa ujue Click to expand... Mke mwee kutekwa kwingine ujue ata kuaga unashindwa nguo zako umelowekea simu zimezimwa unaanzaje kutoka na kuaga me nafurahi yupo mzima basi jaman Baba D na leo unaendelea kutekwa tena baba angu
Tumosa said: hata ukitekwa uwe unaaga mtoto wa watu atakufwa ujue Click to expand... Mke mwee kutekwa kwingine ujue ata kuaga unashindwa nguo zako umelowekea simu zimezimwa unaanzaje kutoka na kuaga me nafurahi yupo mzima basi jaman Baba D na leo unaendelea kutekwa tena baba angu
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Aug 5, 2017 #255,633 Shunie said: Aiseee huu ujio sio wa nchi hii Click to expand... Alikuwa kupikwa kiroho labda
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Aug 5, 2017 #255,634 lee empire said: hiiiii jamaniii yuko wapiiiiiiii Click to expand... Nipo hapa mimi jaman
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Aug 5, 2017 #255,635 Tumosa said: Oohooo unaniuzia kesi,me ntakimbia we jiandae tu kujtetea Click to expand... Mmmmmh
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 5, 2017 #255,636 Leo katika Historia 1962 - Marilyn Monroe anafariki. Ni mwigizaji na mwanamitindo mashuhuri wa miaka ya 1950's huko Marekani. Alikuwa ni mrembo aliyesifika miaka hiyo. Kifo chake kinabaki kuwa miongoni mwa vifo tata kuwahi kutokea nchini Marekani. Inaaminika aliuwawa kwa kuwa alitembea na Rais John F. Kennedy pamoja na Kaka yake Robert Kennedy hivyo alipotaka kutoa siri hyo wakamnyamazisha.
Leo katika Historia 1962 - Marilyn Monroe anafariki. Ni mwigizaji na mwanamitindo mashuhuri wa miaka ya 1950's huko Marekani. Alikuwa ni mrembo aliyesifika miaka hiyo. Kifo chake kinabaki kuwa miongoni mwa vifo tata kuwahi kutokea nchini Marekani. Inaaminika aliuwawa kwa kuwa alitembea na Rais John F. Kennedy pamoja na Kaka yake Robert Kennedy hivyo alipotaka kutoa siri hyo wakamnyamazisha.
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Aug 5, 2017 #255,637 Tumosa said: Hapana kk cpo nyumbani Click to expand... Sawa ila najua kila sehemu maonyesho yapo
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Aug 5, 2017 #255,638 Shunie said: Bado unaendelea kutekwa na leo Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Aug 5, 2017 #255,639 lee empire said: sakayo ....kazi yako unaijuaa nitafutie mdogo wako Click to expand... Hivi Baba D unataka kuniua
lee empire said: sakayo ....kazi yako unaijuaa nitafutie mdogo wako Click to expand... Hivi Baba D unataka kuniua
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Aug 5, 2017 #255,640 Shunie said: Hongera sana jaman Click to expand... Dear Salamu kwani tuna ugomvi