Asante Obe kwa music [emoji445]Muziki: Ijumaa ya Watu Wazuri
Nilitaka nimwage salamu ndefu sana Furahiday hii lakini kutokena na ukweli kwamba imeangukia siku ya kusheherekea bia kwa wanywaji basi nitajiaminisha tu kuwa uko poa kabisa na wikend umeianza vizuri. kama imekaa ndivyo sivyo usihofu, jipange.
Ninapowataja wadau kwa kuliamsha na kulichangamsha Jukwaa hili sio kwamba napenda tu kutajataja majina kama rapper wa kikongo, la, nawashukuru shululu kwa magazeti, lee empire kwa BBC, Shunie kwa Sala, mtaasisi mwenzangu Nyagei kwa kutuspotisha. Siwez kukosa historia Jimena ikichagizwa na picha na baadaye 10 kubwa za Bitoz , hadithi ya komandoo husna muba na top ten ya biere, monde, dawa ya tumbo, bia na Transcend (BTW, miaka hiyo zamani kule US kulikuwa na kitu kinaitwa Prohibition- bia na vilevi vilipigwa marufuku na mwaka 1933, March rais FD Roosevelt akasaini sheria ya kuodoa marufuku hiyo. Asanteni wadau
Siwezi kuacha kutambua mchango wa wageni wote na ni jambo zuri kukuona tena Mndali ndanyelakakomu , Clkey , Tumosa , dumejeuri dingimtoto mzeewakungoa shedede SHIMBA YA BUYENZE , Lyon Lee Sakayo demi ,koncho77 ,Madame S na wote mlioshiriki katika sogozi hadi kufikia muda huu ambapo nakuja na burudani ya muziki.
Muziki sasa, kuna ladha za muziki ambazo japo unaweza kuziita ni za zamani lakini ukizisikiza leo bado utasema huu ulikuwa ndo muziki. yeah na miaka hii sasa upate fursa kama yangu unasikiza huku pembeni una uhakika wa kufurahisha mwili na mkononi umekumbatia chupa ya safari inayoogopa ukungu, ni furahiday leo na kila mmoja wetu ni mzuri na kama huna mashaka na uzuri wako tembea mtupu
Burudika leo ni furahiday na usiifanye siku hii kuwa ngumu sana
Namshukuru yesu kwa wokovu maana enzi zangu nilikua na koo la fisi yani nitupie mzinga mkubwa wa konyagi tarumbeta ndio nianze kugida safari lager,loh ubatili mtupu!!Namba 1,
Snow.
Pamoja na mauzo yake kuwa katika nchi moja, snow ndio bia ya mauzo mengi na maarufu katika sayari hii. hii beer inauzwa nchini china. hii bia unauza ujazo wa 573% duniani toka mwaka 2005. hii beer ina maji sana na corbonate nyingi .
hii beer imekuwa na mauzo makubwa kwa kuwa inauzwa bei ya chini sana.lita moja ya snow inauzwa kwa USD 1 tuu.
Hii bia ina kilevi cha 4.3% tuu.
Asanteni sana wakuu.
mimi sio mzee wa Top Ten ila nimefanya suprise manake mimi nilikuwa mdau wa beer enzi hizooooooo.
Niko poa mdau, vip pande hizoPamoja sana mdau
Mzima lakini?
Namshukuru yesu kwa wokovu maana enzi zangu nilikua na koo la fisi yani nitupie mzinga mkubwa wa konyagi tarumbeta ndio nianze kugida safari lager,loh ubatili mtupu!!
Maneno kuntuu....Ewaaa
Niko poa shemeji mdau, vip pande hizo
Namshukuru yesu kwa wokovu maana enzi zangu nilikua na koo la fisi yani nitupie mzinga mkubwa wa konyagi tarumbeta ndio nianze kugida safari lager,loh ubatili mtupu!!
Haswaaa... Unajua niko na zawadi yakooManeno kuntuu....
Sio kwangu miee jamanii... Maji yatoshaa shemNdio maana ukasema mabia yako
Safi sana, lakini wauguzi wanashauri utumie angalau nusu liter kwa mwezi au miezi miwili
Ujue naweza nikapanda helicopter sasa hivi...Haswaaa... Unajua niko na zawadi yakoo
HahahaUjue naweza nikapanda helicopter sasa hivi...
Water might have bacteria living in..[emoji3][emoji3]Sio kwangu miee jamanii... Maji yatoshaa shem
Wazima kabisa, husna mzima...pande hizi kila ktu kiko kwenye utaratibu na hata ambavyo ambavyo haviko kwenye utaraibu vikija basi tunanyumbulika kuvikabiri bila kuogopa bills.
Kina JJ ahawajambo, na hasa mama yao😉
Ni kwa afya tuSio kwangu miee jamanii... Maji yatoshaa shem
Nipe dakika 5.... Tanga mjini na hapo ni pua na mdomo tuuHahaha
Njoo basi uchukuee bae
..hajambo sana, baadaye tutaingia kwenye majukumu ya kimwiliWazima kabisa, husna mzima
HahahaWater might have bacteria living in..[emoji3][emoji3]
Thank mr.Obe u make my day!Muziki: Ijumaa ya Watu Wazuri
Nilitaka nimwage salamu ndefu sana Furahiday hii lakini kutokena na ukweli kwamba imeangukia siku ya kusheherekea bia kwa wanywaji basi nitajiaminisha tu kuwa uko poa kabisa na wikend umeianza vizuri. kama imekaa ndivyo sivyo usihofu, jipange.
Ninapowataja wadau kwa kuliamsha na kulichangamsha Jukwaa hili sio kwamba napenda tu kutajataja majina kama rapper wa kikongo, la, nawashukuru shululu kwa magazeti, lee empire kwa BBC, Shunie kwa Sala, mtaasisi mwenzangu Nyagei kwa kutuspotisha. Siwez kukosa historia Jimena ikichagizwa na picha na baadaye 10 kubwa za Bitoz , hadithi ya komandoo husna muba na top ten ya biere, monde, dawa ya tumbo, bia na Transcend (BTW, miaka hiyo zamani kule US kulikuwa na kitu kinaitwa Prohibition- bia na vilevi vilipigwa marufuku na mwaka 1933, March rais FD Roosevelt akasaini sheria ya kuodoa marufuku hiyo. Asanteni wadau
Siwezi kuacha kutambua mchango wa wageni wote na ni jambo zuri kukuona tena Mndali ndanyelakakomu , Clkey , Tumosa , dumejeuri dingimtoto mzeewakungoa shedede SHIMBA YA BUYENZE , Lyon Lee Sakayo demi ,koncho77 ,Madame S na wote mlioshiriki katika sogozi hadi kufikia muda huu ambapo nakuja na burudani ya muziki.
Muziki sasa, kuna ladha za muziki ambazo japo unaweza kuziita ni za zamani lakini ukizisikiza leo bado utasema huu ulikuwa ndo muziki. yeah na miaka hii sasa upate fursa kama yangu unasikiza huku pembeni una uhakika wa kufurahisha mwili na mkononi umekumbatia chupa ya safari inayoogopa ukungu, ni furahiday leo na kila mmoja wetu ni mzuri na kama huna mashaka na uzuri wako tembea mtupu
Burudika leo ni furahiday na usiifanye siku hii kuwa ngumu sana
Ila sio kwa wale bacteria [emoji3][emoji3]Hahaha
Just like that???? Thou human body needs bacterial.....