Nimemiss supu zake aiseeNamuonaga majukwaa mengine
Shilawaduuuu nakuona nakuonaaaaa
Madenge lazima umtaje tuu..
Unafikiri kusahau begi kwa mtu ni simple simple eeh .
Tuko pouwa kaka..Natumai nyote mu wazima kabisa humu ndani
Muwe na jioni tulivu
Naweza kumjua ili nitambue uwepo wakeAhahh binamu obe huwa haachi hiyo anapunguza tu kidogo sasa hivi ana mpendwa wake humu kampata kidogo amepunguza
Ngoja nipandeShem wange jamaan ebu we panda tu jamaan huko we ruka tu page nyingi utakutana nazo me sikumbuki
I just wanted to put it clear...!Unaharibuuu mkuu kaz za watu....
Mm sijamanishaa hiyo ..
Najua wew ni mike nikimaanisha Michael. .
Kama sio kaushiaaa...nimekupataa
Mwenyewe umefuraaaaiwoooooooooozaaaaaaaa....hayo ndo mapenziii thathaaaaaaaa
Haya...Wakuu mko poa ??
Namtafuta mama D na kivuruge wake
Amen kiongoziWakuu habari zenu niliwamisi sana nimepita leo niwape salamu tu
Mungu awape afya njema na awape uvumilivu na kila pito tunayo pitia kama wanadamu
Tuko poa, karibuWakuu mko poa ??
Namtafuta mama D na kivuruge wake
6/Stephen KingAlizaliwa Septemba 21 mwaka 1947
Huyu jamaa alijikita kuonesha migogoro ya kitabaka na utamaduni tangu akiwa bwana mdogo
Ni mwandishi mzuri wa vitabuKitabu chake cha The Rest Stop ndio kilichobamba zaidi maana alipangilia mambo vizuri kuanzia wahusika hadi stori nzima
Ila pia kuna:
It
The Shining
Carrie
The Stand
..................................
Zitaendelea baadaye
Kuhesabu nanhiiiKwa mama ashura tena shemela binamu anipeleke kufanya nini tena jaman
Afadhali umemkumbushaAiseee kama uliishia ya 7 hivii ebu weka ya 8 kwanza tuone ujue unatuchanganya
Alikuwa fungate, beach moja matata sanaNiko apa mume za wewe usitukimbie hivyo jamaan