Makapuku Forum

Analijua ila anahisi nimemdanganya..!

Sasa lee anapenda kuniita mike..

Mike anayoita lee sio mike ya michael..lee anaita mike ambayo ni jina linalotumika sana jeshini... hasa wakati wa mafunzo..

Btw , its too irrelevant
Unaharibuuu mkuu kaz za watu....


Mm sijamanishaa hiyo ..

Najua wew ni mike nikimaanisha Michael. .

Kama sio kaushiaaa...nimekupataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…