Makapuku Forum

Leo katika Historia

1984 - Bastian Schweinsteiger anazaliwa.
Ni kepteni wa zamani wa timu ya taifa ya Ujerumani na pia anacheza katika klabu ya Man United. (Sina hakika bado yupo man united)
Katika ubora wake alisifika zaidi kama Box to Box Midfielder yaani alikuwa na uwezo wa kukaba timu inaposhambuliwa na kushambulia pindi timu inaposhambulia.
Hivi bado yupo United kweli huyu??.
 
Ahsanteni kwa kuwa nami, kwa udhamini mnono wa CHIA SEEDS sina la ziada kutoka kwa meza hii.

Kwaherini kutoka katika meza ya historia
Niite Jimena Jimenes

Jipatie Chia seeds sasa kwa afya bora wewe na familia yako!
 
Umetishaa aunt
 
WA faida wakati yeye amekuwa kama scavenger.... Anafuatilia michepuko yako... Wakimkubali anapiga kimya.... Wakimkataa anakuchongea kwa Shunie [emoji16][emoji16][emoji16]


Anko, hizi tuhuma nzito sana, inabidi tuunde tume oh, sorry kamati ya majadiliano mahsusi kuangalia namna gani siri zako za makinikia hazimfikii huyu mbaya wetu
 
United hayupo
 
Ahsanteni kwa kuwa nami, kwa udhamini mnono wa CHIA SEEDS sina la ziada kutoka kwa meza hii.

Kwaherini kutoka katika meza ya historia
Niite Jimena Jimenes

Jipatie Chia seeds sasa kwa afya bora wewe na familia yako!
Asante kwa leo katika historia ankali JJ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…