Makapuku Forum

Usijisifu kwa ajili ya kesho kwa maana hujui yakatayozaliwa na siku moja

Mwingine na akusifu wala si kinywa chako mwenyewe mtu mgeni wala si midomo yako wewe


MITHALI:27:1:2

Mbarikiwe sana muwe na jumapili njema na asubuhi njema
 
Story ya leo inasikitisha sana aisee yaan nawaza tu apa muendelezo wa kesho halaf huyu babu bubu wanawake wote sio wauaji bana wasemee wako uliokutana nao huko ndio wauaji

Baba D asante sana kwa story jaman
Kwa heshima yako kipenzii cha rohoooo

Naiwekaaa leo jioniiiiii...

Ndo naamkaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…