2/oselyn Damas
Amezaliwa Agosti 31 mwaka 1980
Huyu ni muongoza vipindi vua luninga huko Ghana
Pia ni mwigizaji anapatikana kwenye muvi kama Silver Rain,
A Sting in aTale
Na mfululizo wa muvi za Adams Apples
Ana umri wa miaka 36 lakini anaonekana kama kigori