Muziki wa Wadhamini
Kuna muziki na wanamuziki ukiambiwa wapo unaweza bisha lakini ukisikilizishwa nyimbo zao basi utagundua kuwa hujui mengi. Ndo inavyotokea kwangu na hii ni sababu tosha kabisa ya kuwa hapa na kama Fid Q anavyosema, usijue mengi bali jifunze mengi. Asante
Shunie kwa wimbo wa Jidenna uitwao Bambi. Ni mzuri na japo jamaa ni kutoka US of A lakini anachanganya mipigo fulani hivi ya Kinaijeria na utapenda muziki wake. Chaguo la kwanza hilo, kumbuka yapo mawili