Boo nijuayoo mm au hii nyingineHakukuwa na jam leo ndio maana mapema tu nipo ndani ya nyumba, pole na uchovu boo
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Leo hana zamu ya kukesha
[emoji134] [emoji134] unanitisha ujue sijakuzoea hiviSio kawaidaa yangu najuaa...ila leo napata raha sana nikichat nimekulaliaa hapaaa ata usingz sipstiii
Kwenye jukwaa la habari mchanganyikoNilikuwepo kutwa mkuu
Si leo tunafanya kidogooi[emoji85] [emoji85] ila mazoezi yanakuhusu ujue
Ndio umekasilika shemela wanguShemela sitaki mie naonaga watu wanaendelea kuchangia kwenye ule uzi Baba D hataki
Binamu kinachosha ujue afanye mazoezi kidogo...punguza uvivu, kitambi afya ni muhimu kwa mume wako
Hivi umejuaa yamemshindaa nini ???
Si yale maviazi ya kilwa
UnamponzaaNdio umekasilika shemela wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwani huwa nina zamu?
Umejioneaa wengi wanavopenda tufarakaneeHa hahahaha, yale maviazi ya Kilwa akipita Nangurukuru abebe na samaki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Boo nijuayoo mm au hii nyingine
Weka picha ya boo tafadhali
Eti baba D ni kweli?Kwa nini usiamini sasa muulize baba d
Binamu asubuhi tena [emoji134] naomba tu niwekee sasa hivi jaman
Hivi ban yake mpaka leokala BAN
Kidogo sanaSi leo tunafanya kidogooi
Utanitag picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]