Asante sana Obe kwa music [emoji445] bora kabisa kwa siku ya leoChaguo la Wapendanao: My Love Is Your Love
Nimerudi tena, uzuri wa KF ni kuwa na segment kadha wa kadha na zote zikiwa na leo moja tu, kukufanya ufikiri, uelewe na uburudike na si zaidi ya hapa.
Chaguo la leo ni la Shunie na linaenda kwa mtu wake wa nguvu lee empire
FYI: WH ana tuzo kibao na anatajwa kuwa ni mwanamuziki wa kike maarufu wa muda wote akiwa na tuzo kibao zinazofikia 415 zikijumlisha Emmy, Grammy (6), Billboard MA (30) na nyingine kibao. Furahia na wapendanao
[emoji3][emoji3][emoji3]Subiri umtakie yeye
WoyoyooooooooooooNdo nalala cuzoo.
Mwambie atanikuta nyumbani
Mzeewakungoa unaingia kwenye record za avatar sasa [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mjukuu wangu lakini umemuelewa huyo binamu yako? Muhuni huyo ujue.
Mondray aliambiwa na binamu achague kinywaji wewe ukaanza kuchekaShemela sijakuelewa ujue
Ni shida sana aiseeShemela binamu ni shida aise
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzeewakungoa unaingia kwenye record za avatar sasa [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Eti shemela alimaanishaje binamu
Nilicheka binamu alivyomjibu hivyo bada ya mond kumwambia kuhusu husnaMondray aliambiwa na binamu achague kinywaji wewe ukaanza kucheka
Ahaaa okNilicheka binamu alivyomjibu hivyo bada ya mond kumwambia kuhusu husna
Mungu azidi kuniwekea binamu yangu jamaan nampenda sana pamoja kuwa anapenda kuniuzi sanaNi shida sana aisee
Anakuuzi nini tena shemelaMungu azidi kuniwekea binamu yangu jamaan nampenda sana pamoja kuwa anapenda kuniuzi sana
Umeona avatar ya babu yakoMungu azidi kuniwekea binamu yangu jamaan nampenda sana pamoja kuwa anapenda kuniuzi sana
Unamaanisha nini Shululu?Mzeewakungoa unaingia kwenye record za avatar sasa [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ndani ya week moja umebadili avatar zaidi ya mara 3Unamaanisha nini Shululu?
Shemela unajifanya hujui eenh mambo yake ya wahamiaji haramu na vyeusi mangala hujakaa kidogo habari za mdogo wa mama ashura aiseeAnakuuzi nini tena shemela
[emoji3][emoji3][emoji3]mambo ya flower woiiiiUmeona avatar ya babu yako
Hello Madame S[emoji2] [emoji2] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Madame S
NdioUmeona ee..?!
Iyo kuna nampenda nimemwekea.... Usiogope lakini sio mke wako.Ndani ya week moja umebadili avatar zaidi ya mara 3