Captain mwenyewe mimia apa shunie wa lee..sio vigezo tu, hata kipaji unacho na kwa kuwa uko determined kuingizwa basi naamini ukiingizwa utakazana kwa style zote ili kwenye timu upewe mkataba wa kudumu.
Shululu alikuwa anauliza eti captain nani, ukikazana vizuri utapewa ucaptain wa timu, tunakuita captainess
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani huwa ana-dedicate hadi zinakuwa deadication na wakianza confuckration sisi tunawapa congraturation.
Ni wajomba zangu hawa usinishangae
Kwa kuwa yupo zenj ndio hawezi kunywa bia amaTimu yake Captain ni Husna Mubb
[emoji115] shemela hilo jibu la mondray ndio limenichekesha sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Chagua aunt maana anko tayri ukurasa wa mwanzo juu alikudedicatia wimbo unaitwa 'zoea ukewenza' kaimba mbaraka mwinshehe. Nimemgomea
Aisee...yeah, karibu tuangalie netball! Sema anko hatakuwepo maana anapenda sketi fupi na mvaaji asivae skintait. Anko bhana
[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101]Kanidedicate nyimbo inaitwaje binamu naomba urudie nizoee nini eti
Anaelewa sana shemela wangu, sema anapenda kujitoa ufahamuAunt na wewe bhana, nyimbo nimegoma kuicheza maana sasa hivi mimi na wewe tuna makubaliano ya kutokwazana
Mjukuu wangu lakini umemuelewa huyo binamu yako? Muhuni huyo ujue.Captain mwenyewe mimia apa shunie wa lee
Shemela umechagua nyimbo nzuri sana na muimbaji na sauti yake aliitendea vyema sana huu wimbo,Binamu obe napenda nyimbo za huyu mama Mungu ampumzishe mahali pema jamaan whitney houston [emoji120]
Naomba nyimbo yake moja inaitwa my love is your love [emoji8]
Kabisa aiseeEbhaneeee, WH ni kifaa kingine jamani, huyu dada alikuwa anajua kuimba yaani unasikiliza tu nyimbo unajua kabisa muziki huleta ashki bila ku-ask
Shemela sijakuelewa ujueKwa kuwa yupo zenj ndio hawezi kunywa bia ama
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]heeeh, usinijaze maneno ambayo sijaongea mimi. Umeongea kuingizwa kwenye timu, nikasema ndiyo anko atakuingiza bila shida kabisa maana timu ni yake na si ya mtu mwingine.
kwani wewe unadhani nilielewa tofauti jamani?
Shemela binamu ni shida aise[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] mhKwahiyo binamu ulimaanisha niingizwe ninii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaelewa sana shemela wangu, sema anapenda kujitoa ufahamu
Karibu anakujaNyagei anapatikana wapi?
Acha shemela huyu mama jaman nyimbo ukiiskiliza unajihisi upo ulimwengu wa pekee ako aisee daahShemela umechagua nyimbo nzuri sana na muimbaji na sauti yake aliitendea vyema sana huu wimbo,
Nampenda sana Houston, RIP
Subiri umtakie yeye[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mwambie namtakia usiku mwema.
Eti shemela alimaanishaje binamu[emoji134] [emoji134] [emoji134] mh