Kwanza binamu umetokea wapiiiiKabla sijakusalimia kwanza nikuulize swali. Umeamka salama mjomba wangu?
Si unajua njia ya kwenda kazini lazima uchepuke, unachupukia ile njia ya kwa kina Pili halafu ndo najiandaa na michepuko yangu wiki hii yote. Hesabu za michepuo zinahitaji maandalizi. Mimi ni mwalimu wa hesabu, wewe mjomba unajua
Cuzoo niende wapi nipo tuuuwe baba ujue unamfukuza
Yuko kwa binti Neema
Leo atakuja mabango gani tenaWatajijuaaa ...
Sakayo yuko wapii nimpe mabango yakee
Au ndo wale wahenga wa huna mbele wala nyumaNina mkia wa kondoo shem
Umeamka salama mrembo wa moyo wangu, yaani umeupa moyo wangu kazi ya muhimu zaidi. Kukupenda wewe, damu itasukumwa hata na figo
Leo katika Historia
1978 - Louise Brown anazaliwa. Ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kwenye Test tube.
Kabisaa nina ubavu tu shem lakeAu ndo wale wahenga wa huna mbele wala nyuma
Unampenda wapiii ...mbona mahitaji unaelekeza sana kwa mama ashuraUmeamka salama mrembo wa moyo wangu, yaani umeupa moyo wangu kazi ya muhimu zaidi. Kukupenda wewe, damu itasukumwa hata na figo
Kazi wanayo ujue sijui inakuwaje na zile pozi zao mwanaume analegeza jicho kalegea halaf mwanamke ndio anaonekana mwanaume ashukuru tu ile rangiGay + lesbian = ngoma droo
Sijui walikutana kwenye kudanga
Mwakeye,ulimo?!wavyuse nde?! Zi muhila?!
Ukwelii unaumaawe baba ujue unamfukuza
We akukabidhi demi tu basiOk, Uwe ukiondoka unakabidhi mali zako zitunzwe
Binamu yangu mie shikamoo jamanHabari za asubuhi Makapuku wenzangu, kumekucha na ni muda mzuri wa kuwsabahi wote hata wale ambao hamtaweza kupata staftahi
Kwahiyo unaamua kumtunzia na wahamiaji haramu
Weupe umemsaidia sanaKazi wanayo ujue sijui inakuwaje na zile pozi zao mwanaume analegeza jicho kalegea halaf mwanamke ndio anaonekana mwanaume ashukuru tu ile rangi
Hapo sawa cuzooCuzoo niende wapi nipo tuuu