Makapuku Forum

Naukubali sana huu wimbo
 
Leo katika Historia

1983 - Danielle De Rossi anazaliwa.
Mchezaji wa mpira wa miguu toka klabu ya As Roma na timu ya taifa ya Italy.Ni kiungo wa shoka ambae anacheza kama kiungo mkabaji.
Ametwaa kombe la dunia mwaka 2006.

Jamaa ni fundi
Wataliano wanajua miaka na miaka
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…