Kimba Sc anakufa km vp wadraw ili kutusafishia njia ya ubingwa
Mi Man utd lkn Leicester akishinda nitafurahi pia coz wanastahili kuchukua ndoo.....sioni km tutafika Top 4 japo inawezekana
Kuwafunga Leicester ni kuwacheleweshea ubingwa tu
..............