Samahani kwa kuchelewa.
Leo katika Historia
1970 - Bwawa la Aswan lakamilika huko Misri baada ya ujenzi wake kuchukua miaka 11.
Jitahidi umpeleke husna muba ili akajionee live maana hamna namna saaa
Limejengwa kwenye mto Nile
Liligharimu takribani USD 1 Billion
Kina ujazo wa cubin metres 44.3000,000
....
Hbd AnthonyLeo katika Historia:
1986 - Anthony Annan anazaliwa. Ni mchezaji wa kiungo toka nchini Ghana.
Asanteee mamy kwa historiaKwa udhamini mnono kabisa wa Ximena's red Wine [emoji485] kuna sweet na dry pia, ambapo basi utajipatia red wine murua kabisa weekend hii iliyotengenezwa kwa pure zabibu.... Lita 1 kwa bei ya 12,000 tu na inapatikana kwa ujazo wa hadi lita 5
Leo katika historia haina la ziada! Niite Jimena Jimenes JJ
T G I F
Tukutane tena kesho kwenye historia muwe na weekend njema
Mzima wewe ??Hbd Anthony
Karibu cuzzoAsanteee mamy kwa historia
Leo katika Historia
1944 - John Atta Mills anazaliwa.
Ni rais wa 3 wa Ghana. Alifariki mwaka 2012.
Mzima cuzoo hofu kwako tuMzima wewe ??
Tulivyo wajinga mto Nile unaanzia kwetu ila tunaishia kunuka shombo za kambale tuJitahidi umpeleke husna muba ili akajionee live maana hamna namna saaa
Leo katika Historia:
1986 - Anthony Annan anazaliwa. Ni mchezaji wa kiungo toka nchini Ghana.
Leo katika Historia:
1991 - Sara Sampaio anazaliwa. Mwanamitindo mashuhuri toka nchini Ureno.
Kumbe wazimaWote wazima shemela namshkuru Mungu kwakweli
Ngoja week end tujipigie vituKwa udhamini mnono kabisa wa Ximena's red Wine [emoji485] kuna sweet na dry pia, ambapo basi utajipatia red wine murua kabisa weekend hii iliyotengenezwa kwa pure zabibu.... Lita 1 kwa bei ya 12,000 tu na inapatikana kwa ujazo wa hadi lita 5
Leo katika historia haina la ziada! Niite Jimena Jimenes JJ
T G I F
Tukutane tena kesho kwenye historia muwe na weekend njema
NakuaminiaNgoja week end tujipigie vitu
Maisha yenyewe mafupi
Nikiwa swaff nitakutafute nijibebee japo kaglass kamoja nipoze machungu ya kuhangaishwa na mifugo
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.....
Sisi wala hatujiongeziTulivyo wajinga mto Nile unaanzia kwetu ila tunaishia kunuka shombo za kambale tu
Wamisri na Wasudan wanatumia kuzalisha mamilion ya Megawatt kwa saa
.....
Mi pia niko fresh kabisaMzima cuzoo hofu kwako tu
Ni mrembo kweli kweli
Tunajiongeza kucha na nyweleSisi wala hatujiongezi
Yaani tumemkomesha City[emoji122] [emoji122]
Nafikiri ni uongo tu