Makapuku Forum

Uliishi mitaa gani?
Mm nilikua nikiwaona nakimbia kama Hamorapa, Weka picha yako mwenyewe..
 
wewe ni mjomba wangu kabisa, tena ni mshauri wangu, vipi tena anko, au kuna mtu anatuchonganisha maana kuna watu wakisikia wewe muzee ya peremende wanadhani una kiwanda cha pipi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…