Makapuku Forum

Asante kapuku.....yeaaaah baada ya kazi za hapa na pale kama kauli mbiu yetu ilivo ...kugufurika mwanzo mwisho tunakutana hapa kumaliza stress na kujulishana mawili matatu....uwepo wako kapuku hapa ndo uhai wa jukwaa letu pendwa ....

Leo ratiba kidogo zilibana kwa baadhi ndo maana hata Uf imekuja kwa maghumashi ...no bbc dondoo ila sio kesi historia tumeipata na nukuu bila kumsahau madenge na updates zake

Mida ya binamu hii ila sio mbaya akijiandaa kuja tupate DHK. ..DARASA HURU LA KAPUKU. ..

MADA...UWEZEKANO WA KUPANGA KUPATA MTOTO WA KIUME...

Najua hapa wengi tuko watu wazima ...usiliasi kidogo utahitajika ....

Twende sawa ...


Maisha ya ndoa wengi tunaamini kupata mtoto ni baraka kama mimi na wewe kapuku mwenzangu najua tunatamani au wengine tuna watoto /mtoto ...kama mimi nina jembe langu la faida D h...anyway

JE ushawahi kujiuliza kuwa unaweza ukapanga na mpendwa wako kuwa tupate mtoto yupi nikimanisha jinsia ...mfano binamu wangu mnapanga na husna kuwa mpate wakike au kiume au bwana mkubwa Baily na Madame s ...hapa nyie wenye michepuko hatuwaongeleiiii...leo ngoja tushare jinsi ya kupata mtoto wa kiume...usichoke

Reproduction ni topic inayopendwa sana enzi za shule hapa na madoja kama snipes utawaonaa ....


Chembenyuzi aka chromosome zinazohusika hapa ni X na Y hapa twende sawa ...kawaida mwanamke huwa na XX chromosomes na mwanaume ni XY kwa maana nyingine mwanaume ndo mtu sahili wa kuwezesha either baby boy au baby girl hapatikane au laa...kwa hiyo wewe mwanaume acha kumsumbua mwanamke kama uzao wote ni baby girl tuu...

Siku zote kila kitu kikipangwa huwa kinafanikiwa na mimi wewe kapuku nakuibia kipande kidogo kama uko interested na baby boy...apa kama kuna mtoto wa under 18 akalale....

zipo njia mbadala zinazoweza kusaidia kufanikiwa kulingana na mada yetu ya leo ila kitu cha kuweka kichwani...chembeuzi kwenye mbegu za kiume *wale wazungu*ya Y ndio inayohitajika kufanikisha jambo hili na uwezekano wa mwanaume either atoe hiii Y au X ...akitoa X karembo baby girl tunakapata ila sio lengo letu leo ..inabidi atoe Y ...hii Y ina sifa zake mfano
1.hizi mbegu ziko faster kuliko X
2.Ni weaker ukilinganisha na X
3.Ni fupi kidogo
4.inastahimili hali ya alkaline kidogo. ..
5.zina life span ndogo ..zinaishii mda mfupii

Twende sawa mdau...ili uweze kufanikiwa weka pembeni ile ripoti ya wanaume wa dar leo ..30%
hapa mbegu zako wewe/mm mwanaume zinatakiwa ziwe kamili gadoo ...na jitahidi kufanya yafuatayo muhimu mnashirikiana na mwenza wako ...

1 . position ...kiukweli hii kitu inasaidia sana sana hii ni kutokana na sifa za hizi mbegu za kiume ila tukiangalia chembeuzi Y maanake Deep penetration of penis (ukikwazika sorry tuko darasani) inasaidia sana kufikisha hawa wadau sehemu husika ..ila hapa na style zinasaidia sana ...najua kuna maswali mengi ila no questions plz ....
hii ni kutokana na sifa za Y kuwa na speed ila wanaishi mda mfupii..

2.Timing of Cycle ...Hapa ndo penyewe ila sasa ushirikiano kati ya wawili ni muhimu make mke /mwenzawako inatakuwa akuweke wazi inshort ujue mzunguko wake wewe mwanaume hii inasaidia sana ...hii lengo lake ni kuwahi Ovulation ambapo ndo mda muafaka wa yai yaan mbegu za kike zinatoka zilipojishikisha ili ziingie kwenye mzunguko ....
Maana yangu ni kwamba ...mfano mwenzawako baada ya kuanza siku zake wewe kijana hesabu mpaka siku ya 12 au 13 ...hii ni kutokana na sifa tajwa kule juu Y ni faster ila inadumu mda mfupii ...kwa hizo siku ni matumaini yangu mbegu zitakutana na yai na kufanya uchafushajii ila ukichelewa mfano siku ya 9 au 10 na kushuka za kiume Y inaharibika ka kubaki ya kike hapa unapata baby Girl...sio lengo letu leo...

3.kwa ufupi hapa napo muhimu (organism) uwezo wa kumfikisha kileleni mwanamke wako ..hii inafaida zake weka pumba pembeni , mwanamke akifikishwa inasaidia sana kuzalisha alkaline za kutosha ambazo zinasaidia kuitunza Y ..kumbuka mwanzo mazingira yanayofavour huyu jamaa...
Kwa hiyo maandalizi ni muhimu sana kapuku kama una lengo hili

kwa ufupi kidogo niishie hapo wadau...




Baada ya matokeo mazuri ...basi kama baby boy unakapata Mungu akijaliaa...




ILA MASWALI NAWEZA KUJIBU
 
Wewe mbona unawekaga kila siku kwenye chupa ya majii tuliyonunua gulioni na ilivo nyeus walalamike wengine sio wewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…