Endelea kusubiri, ngoja nikupe jina la yule maarufu kabisa aliyezaliwa leo, na ana majina kibao mara aitwe Faranga, Hela, Pesa, Money, ila mimi napenda jina lake liendane na wale mapacha wenzake, mmoja anitwa Pombe (sio rais)... na pacha mwingine unamjua?