Makapuku Forum

Mabibi na mabwana!!!

Tunauza
red wine
nzuri sana (iliyotengenezwa kwa zabibu halisi)

Inapatikana sweet red na dry red


Inafaa kwa matumizi binafsi
na kwenye masherehe pia

Lita 1 ni 12,000/=
Na inapatikana hadi kwa ujazo wa lita 5

Kwa wenye masherehe ambao watahitaji
zaidi ya lita 25 basi bei inaweza kupungua kidogo



Tafadhali usisite kuwasiliana nasi pmmuda wowote kwa maelezo zaidi
Pia kwa
Wasiliana nasi kwa

What's app number
+46706127089
+255688140615
+255654633863

Vile vile unaweza kupiga simu no

+255 627 402 446
+255 715 896 366
Tafadhali sambaza ujumbe huu kila mahali ili nao wapate habari njema

Maisha yafaa nini bila mvinyo
 
Hivi unajua kwamba mwanaume anayepitia bar au kwenye chomachoma akachukua nusu kuku akafunga kwenye mfuko akawahi nyumbani mapema ili ale yule kuku mdogo na mkewe na watoo wake wote ana akili, busara na hekima mara 1000 kuliko yule ambaye anapitia kwenye bar hiyohiyo na kuketi na kuchoma kuku watatu na mguu wambuzi ili ale na marafiki zake na akimaliza kushiba anabeua na kutoa pumzi safi na chafu huku akienda nyumbani kwa kuchelewa na tena akiwa mikono mitupu wakati huko nyumbani kwake wana mwezi hawajamnusa kuku. Sasa hapo ndipo utapingana na yule mhenga aliyesema "Akili ni nywele na kilamtu anazake" maana nahisi kunawengine wana upupu kichwani na sio akili #
 
Ngoja nichangamkie wine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…