Makapuku Forum

Tuwe na usiku mwema Makapuku wenzangu.

Nikutakie usiku mwema na nakuacha na Christian Bella

Woyoooooo binamu kwenye ubora wako
Mbona kama unanionea haya mapenzi gani kila siku lazima nibembeleze

Ona kaneno mapenzi kaneno kafupi kana maneno mengi unayempenda akakuzingua si bora angesema mapema me kaniacha nimezama kutoka sasa nashindwa nashindwaaaa

Binamu obeeeee
santeeeee unajua vile nakupenda sana
 


...huwezi kuthamini ulichonacho hadi ukipoteze. Ni suala la muda tu, msalimie mhenga mwenzangu
 
Woiiiiiiiiiii ila baba d una madongo siku hizi
Nimeuliza tuuu... Na mie nimeshindwa kuelewa.... Alipotea halafu akarudi kivingine....

Lakini wakubwa tunaelewa magazijuto...

Hajapoteaaa


Magazijuto changanya na kipeuo cha pili ...

Alikuwa wapiii kumbe... Maana Mmmmh...

Ndo napata jibu sahihi sasaa....

Blah blah blah blah werevaa naziona kwa Sakayo na T wake....

Hapana bwana alikuwa kigamboni kwa mama mchuchu anampa mikoba si unaona sasa hivi ....

blah blah si ulinambia hutaki kusikia

Mmmmh...

Mie huyooo... Haya bwana!!!! Wahenga tushaelewaa

Hakuna cha wahenga .....shunie wetu yupo kajaa teleee na furaha juuu Mungu atupe nini


Sema na mm mke mdogo kaniteka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…