Asante binamu yangu nakupenda sana unajua hiloJumamosi Fleva: Jipende Mwenyewe
Ni Jumamosi nyingine tunakutana kwenye muziki na kama kawaida maneno machache muziki unatawala. Hapa KF leo ni muziki wa kileo zaidi na si ule muziki wa wahenga. Ila ujue nini, hata hawa vijana wa leo wanaoniita muhenga jioni hii asubuhi ikifika nao wataitwa wahenga. Maisha ni mzunguko.
Jipende mwenyewe maana ni wewe mwenyewe ndo unajijua, wengine hutoa complimentary tu ila ikifikia kujipenda, jipende mwenyewe kwanza na mengine yatakuja tu. Sisemi kupenda au kupendwa sio muhimu, namaanisha ukijipenda mwenyewe na mwingine atakupenda, usipojikubali hakuna atakayekukubali.
Asante kwa Shunie aunt yangu wewe kwa kuchukua nafasi ya kutupatia sala na maneno ya hekima, unafanya vizuri sana na ninakupenda kama unavyopendwa na wengi. Unalijua hilo, tabasamu maana ndivyo unavyonifanya nitabasamu. Asante sana.
Tuburudike sasa na kwa usiku huu tumwangalie Justin Bieber- Love Yourself (nimesikiza dirty version yake huihitaji hapa) akiperfom live huko Manchester kwenye Tamasha la One maalum kuchangia shirika la Msalaba Mwekundu.
[emoji10][emoji10][emoji10][emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Katiba yetu hairuhusu kuwowaa
[emoji4][emoji4]Raha yangu kukuonaa unachekaa
Nilikumiss sana...be blessed
[emoji3][emoji3]mke mwee eti chimboNlkumic pia hbr ya chimbo
Mtu fulani akiwa mdogo...Sijui mie jamaan ni mtoto wa nani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usije ukataja langu tuu...
Kaka umeshafika jamaanMbona unaguna dada
Me moree hope unaendelea vizuriNilikumiss sana...be blessed
Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila wamefanana ujueMtu fulani akiwa mdogo...
Alijichimbia jamani[emoji3][emoji3]mke mwee eti chimbo
Na kwako mke mwee Damu ya Yesu ikulindeUcku mwema wapendwa Mungu awe kinga yetu atuepushe na mabaya yote
Asante binamu yangu nakupenda sana unajua hilo
Saàana nimeanza kurudisha kale ka mwili kangu kakujidai[emoji39] [emoji39] [emoji39]Me moree hope unaendelea vizuri
Na kwako pia binamu yanguNashukuru, uwe na wakati mzuri katika usiku huu.
Kalienda wapi kwani hako kamwiliSaàana nimeanza kurudisha kale ka mwili kangu kakujidai[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Post sent using JamiiForums mobile app
Hahahaaa..m[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila wamefanana ujue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata mahaliKalienda wapi kwani hako kamwili