Makapuku Forum

Chiziiiii wewe ....

Twende mwingine auu
Napenda nione ukinitendea napenda nione ukinibariki napenda nione ukiniinua kila kitu kwako mimi napenda

Napenda nione ukiniponya napenda nione ukinifariji napenda nione ukiniinua kila kitu kwako Bwana mimi napenda

Napenda nione ukinitendea napenda nione ukinibariki
napenda nione ukiniinua napenda nione ukinibariki kila kitu kwako mimi napenda

Napenda nikiona ukiniponya napenda nione ukinifariji napenda nione ukiniinua kila kitu kwako Bwana mimi napenda

Napenda x2 kila kitu kwako Bwana mimi napenda
 
Mama Mchungaji yuko wapi jamani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…