Hongereni jamani...Hakuna cha wahenga .....shunie wetu yupo kajaa teleee na furaha juuu Mungu atupe nini
Sema na mm mke mdogo kaniteka
HahahaI know ...as long tumepashana mapema
Kote koteeee.....Hongereni jamani...
Mie nilikuwa nawaza tuu kwa sauti...
Huyo mke mdogo nae kakuteka pm au maana jukwaani humu mnapishana...
Never mind.... See you then
Haya bwana... Muheza hamna wasomali...Kote koteeee.....
Apo ndo utajua kwa nini wasomali huwa hawapendi kujiendesha kariakoo...
Haweziii ....kwa kupashana vibaya ...??Hahaha
Unataka mke mdogo aniwashie moto sio
See u once again. ..Haya bwana... Muheza hamna wasomali...
Mie naenda jumuiya bhana.... Baadae saaana
MmmmhHaweziii ....kwa kupashana vibaya ...??
Okay thenSee u once again. ..