Inasikitisha sanaKUMBUKUMBU.
Pichani ni Sarah Baartman mwanamke kutoka Afrika kusini aliegeuzwa maonesho enzi za utawala wa makaburu. Kutokana na sura na umbo la kibantu alipelekwa Ufaransa na kuwekwa kwenye majumba ya starehe ambako wageni walilipa hela ili wamwangalie akiwa uchi wa mnyama wakimlazimisha atembee ili waone anavyotingisha! Sarah alozaliwa mwaka 1789 alifariki mwaka 1815 akiwa na miaka 26 kutokana na mateso ya kuingiliwa na wanaume wasio na idadi pamoja na muda mwingi kusimama. Baada ya kifo chake alikaushwa na kuhifadhiwa ili aendelee kua kivutio cha utalii. Watetezi wa haki za weusi walikua wanashinikiza Ufaransa iukabidhi mwili huo kwa Afrika kusini ili uzikwe kwa heshima, juhudi zilokujafanikiwa mwaka 2002 chini ya msaada mkubwa wa Nelson Mandela ambapo mwili wa Sarah ulizikwa upya mjini Pretoria kwa heshima zote! .
Yupo kwani humuoni hapaWapi lee?! Baba d wako
Alishazama na MV Spice Islander[emoji1] [emoji1] [emoji1] sijui tumelogwa na nani thithiiii[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134]
SalamaJamani mmeshindaje wapendwa wang
Picha ipi jamaan ebu iwekeni tuone woteNisamehe jamani.... Nilikuwa nataka niangalie picha kwa bahati nikatoa bila kusave..... Am sorry hunie
Yaaaa Maaaaan, Afrcan women lookin gudo, bombastic and fantastic.Mh haya wee
huko ndani ndio kuna jotoBaridi jamani... Twende ndani basiii
Kumuenzii chizi wangu D namadilisha jina jpili ....atakuwa anaitwa BradleyR.i.p Bradley
TumaaaaaaWala huwezi sema ukweli.... Au nitupie na pic zako kabisaa
hapa list limetulia.. Return If Possible MJ2/Michael Jackson
Nani asiyeijua staili yake ya uchezaji iitwayo Moon walker?
Namzungumzia Wacko Jacko kakaye Janet Jackson aliyezaliwa mwaka 1958 na kufariki dunia 2009 akiwa na miaka 50....alikufa ila bado yupo mioyoni mwa watu na jina lake halitafutika kwenye orodha ya wanamuziki bora wa muda wote pamoja na kuwa na maisha tatanishi
Alianzia muziki kwenye kundi la familia Jacksin 5 amvbalo ni la wabandugu watupu na hapo wakatisha bila vinyago na kwake ndo mlango wa kuelekea kilele cha mafanikio
Tafuta tu Thriller au Billie Jean
.....
Tumeshinda salama mpenzi hofu kwakoJamani mmeshindaje wapendwa wang
Karibu Clkey.Jamani mmeshindaje wapendwa wang
Hiyo hapo juu sasa...Mie ndo nimeifuta
MmhKumuenzii chizi wangu D namadilisha jina jpili ....atakuwa anaitwa Bradley
Hiyo hapo juu Dada H[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante shem akee kwa nukuuNUKUU YA LEO
All of us show bias when it comes to what information we take in. We typically focus on anything that agrees with the outcome we want.
Sisi sote tunakuwa na upendeleo pale linapokuja suala la habari tunazozipokea, tunakuwa makini sana na vitu vyenye kukubaliana na majibu tunayotaka.
Haya maneno yalitamkwa na mwanamama , mwana uchumi, mhariri wa masuala ya uchumu ITV televion na mwandishi Bi. Noreena Hertz
Noreena alizaliwa September 24 1967 nchini Uingereza. Noreena ni mjukuu wa wa chief wa kiingereza Bw. Rabbi Joseph Hertz.
Noreena amesema falsafa na masomo ya uchumi katika vyuo vya University college of London Uingereza na The Wharton School of philadephia nchini marekani.
Baada ya masomo Noreena alimefanya kazi mashirika kadhaa nchini marekani ikiwemo Talent Agency LA marekani, amefanya kazi nchini Russia baada ya hapo alirudi nchini England kusoma shahada ya uzamivu juu ya biashara na uchumi (Phd in bussiness and Economics)
Noreena anaamika kuwa kati ya wanawake wenye uwezo mkubwa wa kufikiri sana duniani.
Mwaka 2001 , jarida la the observer lilimuandika kama "one of the world's leading young thinkers"
Mwaka hui huo 2001 jarida la Vogue magazine lilimuandika "one of the most inspiring women in the world"..
Media za Uk zinamuita Neggela lawson kutoka na utashi wake wa kuchambua mambo ya kuyaweka sawia.
Noreena, japo mimi napenda kumuita "Noreen" anatambulika kama "most of influencial economist on international stage" kwa sasa hivi.
Amkuwa na mchango mkubwa wa ushauri wa uchumi wa dunia kwa ujumla.
Vitabu vya Noreena vimeandikwa katika lugha 22.
Noreena ameolewa na aliyekuwa mkurugenzi wa BCC bw. Danny Cohen na wanaishi primrose hill nchini Uingereza.
Hii Nukuu imeletwa kwa Hisani ya Sakayo. Yeye ndio chachu ya hii Nukuu ya leo.
Soma Nukuu kwanzaa...Baridi jamani... Twende ndani basiii
Mtoto wa sakina? [emoji41]Jamani mmeshindaje wapendwa wang