Makapuku Forum

Ok nilidhan mmebaki wawili nikawa naimagine nini kitaendelea iwapo unageuka nyuma, mbele, unakuta hakuna mtu mwingine ni wewe na Valentina tu...Ndiyo maana nilikuwa interest kuona reactn yako pale..
Hahahaaa... Usijali braza, hata hivyo nimejuana na miss Valentina siku nyingi kidogo ndo maana matani ya hapa na pale hayaishi.
 
Mtumishi jambilo amepungukiwa na wokovu hahahaa....
Hasa anaposaidiana na youngblood kuwaita mashemeji zao 'shemdarling'.
Tena kwa kiwango cha juu sana na ukiangalia wako case zinazofanana mtumish aliachana na Patience123 mkewe ghafla akabadili tabia ila youngblood na yeye baada ya mkewe Nahrene kwenda kijijin na kumacha mwenyewe na yeye ghafla akabadili tabia pia..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…