Morning warm upMorning Tena wakuuu!
I love this forum!
Lee njoo kaka! This was a morning warm up
Shunie;
Usilie tena dada, nilitaka nijue kama unampenda leee
Afu forum imechangamka kidogo...!
Relax sasa! Afu mimi sijabadili avatar yangu...
Lee empire and shunie love you all...
Asante kwa morning warm up!
Asante mkuuWakuu habari zenu
UTAFITI HEWA
Usikubari kuongozwa na mwili badala ya akili bali akili ndo iuongoze mwili
Wote wanaoongozwa na mwili hushindwa katika kutimiza wanacho kifanya
Anae ongozwa na akili hufanikiwa zaidi na zaidi
Wakuu habari zenu
UTAFITI HEWA
Usikubari kuongozwa na mwili badala ya akili bali akili ndo iuongoze mwili
Wote wanaoongozwa na mwili hushindwa katika kutimiza wanacho kifanya
Anae ongozwa na akili hufanikiwa zaidi na zaidi
Muziki: Jina Lako Linafanana na Muziki
Ni usiku sasa na muda unakimbia kweli kweli, hizi mbio za leo ni za kuitafuta Furahiday. Pamoja na siku kukimbia sana leo sitoacha kukusalimia Kapuku mheshimika maana salamu ni nusu ya kuonana, wale wa Radio Tanzania Daslam mnakumbuka hili. Usijidai mdogo wakati umezaliwa miaka ya 80, 90s, miaka hii yote RTD ndo ilikuwa radio namba moja na vipindi maarufu vilikuwa Mama na mwana na kile cha Salamu kwa Wagonjwa.
Hivi unajua kuwa uwepo wako hapa unaniongezea maarifa mengi sana, maana najifunza kwa kila unachoandika. mtu makini huheshimu na kujifunza kile ambacho mwingine anaandika au kusema. na hili ndilo linaifanya KF kuwa ni sehemu ya kipekee kabisa, full maarifa, full kuelimishana, full kuloviana, full kujamiiana (socializing stop tantalizing) na zaidi full kuwa pamoja bila kujali nani ni nani.
Muziki sasa, sijachelewa sana leo kuleta muziki na hata kama nimechelewa ni kwa sababu lingekuwa ni tumbo langu peke basi ningewahi lakini kuna matumbo matatu yani nisiporudi nimebeba japo mkate jua staftahi nitastafuhiwa mimi. Kifupi nilikamatika lakini hakijaharibika kitu.
Hivi unajua jina lako linafanana na muziki, ziba pua halafu litamke taratibu, na ukiweza litamke kwa kupiga mluzi (kama una mapengo jaribu mbinu mbadala ya kubananisha fizi na mdomo wa juu, halafu litamke taratibu. Hapo utasikia jina lako linafanana na muziki. Lisipotamkika kimuziki basi inawezekana wakati unaumbwa wazee wako walikuwa wanasikiliza taarifa ya habari.
Kama huamini basi hebu sikiza huu muziki Whats love got to Do, kama hutasikia Husnaaaaa na hii ni kwa husna muba
Nakupenda sana Kapuku
Morning shululu wa TumosaAmen
Hii umeifukua wapiiMorning warm up
Hata mimi naona wote mko poa sanaKaribu, tupo poa
Morning to you shululuNyagei morning
Nn?!
Nambie shemejiShemejiiii
Ni mambo mengi huchangia mapokeo yakawa mazuri au mabaya.Shimba ya buyenze umeamkaje
Ngoja nikutoe shaka, bitoz hajaanza leo kuwataja wasukuma au jana, tangu huu uzi umeanza mara nyingi hupenda kutaja wasukuma nani kwa utani si kwamba kwa sababu wewe upo au haupo hapana
Mpaka mimi ilifikia wakati wakati nikawa namtania kwamba lazima aoe msukuma maana si kwa mahaba hayo kwa wasukuma
Kifupi bitoz anawapenda sana wasukuma
Ndio maana hata jana alisema kiutani tu kuwa ile jamaa haipo, akiwa na sababu kuwa uje, na kweli ulikuja, sema ulikuja na tafsiri tofauti
Kumbe hiyo mutu ni wewe shemeji?Sema "star" wa Makapuku. Mambo? Ile mtu ya Koromije isipokuwepo kwenye thread yako hii unafurahi sana ama? Kabla hujaisema si angalau uiite basi kama una ubavu? Binadamu!
Magazeti tayari au bado?Uwe na siku njema
Msukuma ktk ubora wakoMkuu, unalalamika kama vile kuna mtu amekukataza kuongea lugha yako ya mama? Uliongea wapi Kindali chako Wasukuma wakaja kukukataza? Wao ni nani mpaka wakataze wengine kuongea lugha zao? Ni nchi huru hii ati!
HV shemeji lugha ni ya mama au babaWasukuma hawamind mambo yasiyokuwa na maana. Inferiority complex yenu ya kushindwa kuongea lugha yenu ya mama msisingizie Wasukuma. Hakuna anayekatazwa kuongea lugha yake ya mama katika nchi hii!
MorningNn?!