Makapuku Forum

asante kwa kadi mpendwa mpenzi wangu joomoooniiiiii

Hii kesi ipo kabisa nje ya mawazo yangu ...binamu ebu fanya kama nahitaji msaada wako sasa bonge huyu ataua mtu ....

Zile pesa alishapiga mahesabu atachenjiii dolareeeee....

Kwishaaa habariii yake
 
2/Nigeria
Matapeli hawa wa Afrika Magharibi nao wanamalizana kwa ngoma au tuseme wanatapeliana hadi Virusi vya Ukimwi
Nigeria ndo nchi yenyeidadi kubwa ya watu barani Afrika ikiwa na watu takribani 192,000,000 yaani karibia X 4 ya Wabongo
Wanigeria ambao wamekanyaga ngoma wanafikia 3,300,000
........
 
Hii kesi ipo kabisa nje ya mawazo yangu ...binamu ebu fanya kama nahitaji msaada wako sasa bonge huyu ataua mtu ....

Zile pesa alishapiga mahesabu atachenjiii dolareeeee....

Kwishaaa habariii yake

Si alinifuata nikamchenjie, nilipoziona zimeandikwa amajambele amafuranga ikumi nikajua tayari mtu kaliwa kwa furahabubu.
Anakumind sana hadi leo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…