... husna muba maua yako ni furaha machoni na moyoni mwangu. Asante sana mpendwa/mpenzi
Kutokana na sababu zilizowezeshwa na mjomba lee empire nimeshindwa kukutumia maua hapa, ila wiki ijayo nenda posta nimekutumia post kadi nzuri sana.
Afu sijui kwanini wanachelewesha barua, wiki nzima jamani. Ndo maana nafoji stamp tu
Ile kesi niliianza baada ya kuanzishwa, na inakuhusu sana inabidi tu ujikakamue ukamalizane naye. Halafu kaungana na yule bonge mhamiaji haramu, si unamkumbuka ulimfanyia dhulma (ulimpa hela ya burundi kwa kuwa mlikuwa gizani)
3/India
Ndio nchi ya pili kwa wingi wa watu duniani na muda si mrefu watawapiku Wachina
Tayari Wahindi washafikia 1,350,000(billion 1 milioni 300+) na spidi yao ya kuzaliana ni km panya na Wachina washafungwa spidi Havana
Waathirika wa UKIMWI wanafikia 2,500,000
.........