Makapuku Forum

8/Zimbabwe Haiwwezi kushangaza maana mzee wao Mugabe kila siku wanamlisha maneno kuhusu ngono huku yeye mwenyewe akiwa anamiliki dogodogo
Kwa Wazimbabwe jinaNgoma ni maarufu kwao sijui lina maana gani mi namjua Donald Ngoma tu
Nchi ya Zimbabwe ina idadi ya watu zaidi ya 16,300,000
Wazimbabwe wenye majanga wanafikia 1,201,000
........
 
7/Uganda Wangekosekana Waganda ningeandamana !!
Nani hamjui Iddi Amin Dada ? Dikteta orijino na mbabe aliyekuwa analalisha kitambi chake kwa kila mwanamke nzuri aliyemtamani....Alikuwa na furushi la watotohata idadi kamili sijui
Yoweri Museveni anaongoza nvhi yenye idadi ya watu takribani 41,000,000 na kila siku anawaibia kula tu
Waganda waliokanyaga miwaya wanafikia 1,250,000
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…