Makapuku Forum

Hawa Ulaya wanaheshimika sana
 
Kila mbaya na wema hakosi

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
3/Randstad Holding NV Ni kampuni ya Kiholanzi inayojihusisha zaidi na kutumikisha watu(human resources)
Yaani ni kama ma kampuni ya hapa bongo yanayosambaza watu maofisini ila hii ni ya kimataifa ukiwa na matawi zaidi ya 3000 duniani kote
Anaingiza mkwanja unaofikia USD 23 billion
Imeajiri watu takribani 600,000
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…