Makapuku Forum

Asante sana mdau, hivi unajua nini! KF ni sehemu nzuri sana kwa sababu wewe upo na umekuwa sehemu muhimu ya Kapuku Forum
Amen kaka
Hapa panipa hatua muhimu
Pameongeza marafiki wa ukweli
Msiruhusu chuki vijembe vitugawe
Tuongozwe na busara na kuvumiliana
Mawazo yetu hayafanani wala uelewa wetu haufanani lakini tunaunganishwa na MAPENZI yetu juu ya KF hivyo sisi ni zaidi ya ndg. Tuheshimiane bila kujali madhaifu yetu kwani hatutakaa tufanane kwa mawazo na uelewa, hilo tumegawiwa na MUUMBA hatukuchagua tuwe kama tulivyo. Nawaheshimu woote
Bitoz
shululu
Jimena
Shunie
 
Mkuu unataka kunipangia muda wa kuonana na dadangu?


...swezi kukupangia muda wa kuonana naye, hapana. Ila kama kusema usubiri nimalizie safari yangu ya kipekee ndo uende ni kukupangia bora iwe hivyo.

Nyagei alipanga kuja naye kipindi naumwa matokeo yake safari ikapotelea hewani, nimeshajifunza. siangalii cha kaka wala bulaza, wote msubiri hadi mimi nitoke.

Ila sizuii mtu
 
Mimi naamini Siku zote katika ukimfanyia mtu jambo jema hana anachokudai
Hivyo nikipata fursa kuwa na urafiki na mtu/mpenzi huwa naishi nae vizuri Siku akijisikia kunisaliti au kunifanyia jambo baya mfano kunizungumxa vibaya kwa watu huwa napotezea tu ilimradi najua sikumfanyia jambo lolote baya hivyo moyoni huwa sina presha na maisha huendelea huku yeye mpyo utaendelea kumsuta
Pia huwa sinaga bembeleza bembeleza n.k huwa napenda mtu afanye mambo kwa utashi wake mwenyewe
...............
 
Utanikuta, mimi nipo naye tayari...una lingine!!!
 
Ameeen
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…