Hivi nilitaka nimuulize dada shunie kuwa nyagei yuko wapi
Mwambie mi mzima kabisa
HahahaYesuu
Nataka nikusapursizeeeeeNiambie utamu wangu
I love u jamaan wa celine dion[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] mpendwa mwayaa basi nimesahau cjui nilikuwa nataka vileee
[emoji134] [emoji134]
Nisalimieni na mie jamanHivi nilitaka nimuulize dada shunie kuwa nyagei yuko wapi
Mwambie mi mzima kabisa
Wale wana laana si bureYaani mji unaonyesha watu ni masikini kuliko sehemu nyingine lakini ukiangalia chanzo cha umaskini wao ni wakujitakia kabisa
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] sijuiiiiiTuseme tuu ukweli... Huwa kuna la kukumbuka kiukweli... Liwe zuri au baya.. Huja tuu automatically kwa kweeli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani mtu akiomba game unawaza kuachana?
[emoji134] [emoji134] [emoji134] yupo nyumbani alikuwa ananizingua, unajua shemela wangu anapenda sana kunizinguaUnamtania mme mweee au
Sema nani alizimia [emoji3][emoji3][emoji3]Na wewe...
Mbona uliogopa vile lakini.... Eti
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Ujue naweza kumpiga talaka usiku huu huu
Kama kawa kama dawa mzee wa kodooooo nakuonaa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume wa dar haoYaani wanapenda kula biskuti chokoleti na kinywaji chao soda unaweza kuhisi wote ni mateja
Basiii YaisheSema nani alizimia [emoji3][emoji3][emoji3]
Ahahhahha huna uwezo huoUjue naweza kumpiga talaka usiku huu huu
Shedede , nyagei na mzee wa historia siwaoniJamani me namuulzia shemela Shedede cku nyingi hajaonekana humu tena aliondoka na stress za talaka mwenye mawasiliano nae amtafute
Mmmmmmmmh nilisomaga fasihiiAhahhah me sasa kwakweli sikukumbuki hata kama kuna mengi mazuri tumewahi fanya kama tumeamua kuachana tuachane tu kwa Amani itokee tu tukutane kwa bahati mbaya tusalimiane lakini sio nianze nikutafute nimekumiss sijui nini hakunaga hiyo
Nyagei kaenda wapi?
Hahaha[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] sijuiiiii