Makapuku Forum

Ukitoa kwa wema ,unaongezewa hata wanyama wanashukuru....kuna ndege alikua analishwa na mama mmoja kila akienda kwenye eneo la huyo mama alimpa nafaka na maji...baada ya muda huyu mama alifariki akazikwa..sasa hivi kama kuna mtu anaenda kuangalia kaburi huyu ndege anaongoza hadi kaburini..analizunguka hata kama mtu ni mgeni atalifahamu kaburi..watu wengi wanaenda kimekua kivutio, wema hauozi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…